• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 5 wa bunge la umma la China kumalizika kesho

    (GMT+08:00) 2017-03-14 17:03:54

    Mkutano wa 5 wa bunge la 12 la umma la China unatarajiwa kumalizika kesho hapa Beijing.

    Mkutano huo unatarajiwa kupiga kura kuhusu miswada mbalimbali ikiwemo ripoti ya kazi ya serikali, hali ya utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya uchumi na jamii ya mwaka 2016 na mipango hiyo mipya kwa mwaka 2017. Pia mkutano huo utajadili ripoti ya kazi ya kamati ya kudumu ya bunge la umma la China, ripoti ya kazi ya mahakama kuu, na ripoti ya kazi ya idara kuu ya uendeshaji mashitaka.

    Baada ya mkutano huo, waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang atazungumza na waandishi wa habari katika jumba la mikutano ya umma.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako