• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 5 wa bunge la 12 la umma la China wafungwa Beijing

    (GMT+08:00) 2017-03-15 09:53:04

    Mkutano wa 5 wa bunge la 12 la umma la China umefungwa leo hapa Beijing.

    Mkutano huo umepitisha ripoti ya kazi ya serikali, ripoti ya kazi ya kamati ya kudumu ya bunge la umma la China, ripoti ya kazi ya mahakamakuu na idara kuu ya uendeshaji mashtaka.

    pia umepitisha mwongozo mkuu wa Sheria ya kiraia ya China, hatua inayomaanisha kukamilika kwa utungaji wa sheria ya kiraia nchini China.

    Baada ya kufungwa kwa mkutano huo, waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang atakutana na waandishi wa habari.

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako