• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Waziri wa fedha nchini Kenya atawasilisha bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha wa 2017 na 2018 (Julai-Juni) bungeni mnamo mwezi Machi 23

    (GMT+08:00) 2017-03-15 19:34:09

    Waziri wa fedha nchini Kenya atawasilisha bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha wa 2017 na 2018 (Julai-Juni) bungeni mnamo mwezi Machi 23, Hazina imesema .

    Kenya kawaida inatoa bajeti yake mwezi Juni lakini kwa sababu ya uchanguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwezi Agosti 8 mwaka huu imeona bajeti isomwe mapema.

    Waziri wa Fedha Henry Rotich anatarajiwa kupiga jeki matumizi, katika mapato ya juu yanayotarajiwa, huku wakipunguza ukosefu wa fedha kwa asilimia 7.0 katika Pato la Taifa kutoka asilimia 9.6 ya Pato la Taifa kwa mwaka wizara ya fedha ilisema mwezi uliopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako