• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda- Fred Jachan Omach ateuliwa kuwa mwenyekiti mpya wa mamlaka ya barabara

    (GMT+08:00) 2017-03-16 19:41:08

    Aliyekuwa waziri wa fedha nchini Uganda Fred Jachan Omach ameteuliwa kuwa mwenyekiti mpya wa mamlaka ya barabara.

    Omach atahudumu kwa muhula wa miaka 3 akichukua mahali pa mwenyekiti anayaeondoka bibi Angella Kiryabwire .

    Miongoni mwa wengine sita kwenye bodi ya wakurugenzi ya mamlaka hiyo ni pamoja na Allen Kagina, Sam Bagonza na Umar Bagambadde.

    Waziri wa uchukuzi na ujenzi wa umma bibi Azuba Ntege, ameitaka bodi hiyo mpya kuongeza utenda kazi wa mamlaka hiyo ili kuiwezesha serikali kupata thamani ya pesa zake kwenye miradi ya barabara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako