• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hatimaye timu nane zapatikana kwenye robo fainali ya Europa League

    (GMT+08:00) 2017-03-17 09:04:37

    Hatimae michezo ya marudiano hatua ya 16 bora ya Europa League imemalizika jana usiku kwa michezo minane kuchezwa, tayari timu nane zimepatikana baada ya michezo ya marudiano.

    Kujua timu ipi itacheza na timu gani na kama itaanzia nyumbani au ugenini itajulikana leo mchana baada ya kuchezeshwa droo mbili na UEFA, ya kwanza itakuwa ya Klabu Bingwa Ulaya na baadae itakua ya Europa League. Washiriki wa robo-fainali wa ya Europa League ni pamoja na KRC Genk, Celta Vigo, Besiktas, Ajax, ManUnited, Olympique Lyon, Anderlecht na Schalke 04.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako