• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Wajumbe wa India kuwasili Rwanda kwa uwekezaji na biashara

    (GMT+08:00) 2017-03-17 20:13:39

    Wajumbe kutoka India wanatarajiwa kuwasili Rwanda kwa ziara ya uwekezaji na biashara wiki ijayo.

    Clarence Fernandes afisa mkuu wa shirika la mauzo ya bidhaa za Rwanda nchini India amesema ataongoza wajumbe 30 kutoka sekta tofauti za biashara kufika India kwa mazungumzo ya biashara.

    Majadaliaono ya mkutano huo utakaowashirikisha wataalamu kutoka sekta za ICT,kilimo,uzalishaji,viwanda na ujenzi utawasusisha pia viongozi wa wizara za biashara,viwanda na fedha nchini Rwanda pamoja na sekta binafsi.

    Wajumbe hao watalenga kutafuta fursa za uwekezaji na makubaliano ya mikataba ya biashara baina ya nchi hizi mbili.

    Kikako hiki kitafanyika tarehe 4 Aprili.

    Rwanda imejizatiti kuongeza juhudi na mikakati ya kuhakikisha inakuwa kiuchumi ili kufikia uchumi wa wastani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako