• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • La Liga: Real Madrid yaongoza ligi, Barca waipiga Valencia

    (GMT+08:00) 2017-03-20 09:29:32

    Real Madrid Juzi walipaa kileleni mwa ligi kuu ya Hispania (La Liga) baada ya kuichapa 2-1 Athletic de Bilbao Ugenini huko Estadio San Mames.

    Bao za Real zilifungwa na Karim Benzema na Casemiro katika Dakika za 25 na 68 huku la Bilbao likipachikwa na Aduriz Dakika ya 65.

    Mchezo mwingine ulichezwa jana kati ya Barcelona na Vallencia, Barcelona imeifunga Valencia magoli 4-2. Mabao ya Barcelona

    yamefungwa na Louis Suarez goli 1, Leone Messi magoli 2 na Andre Gomes goli 1. Huku Loanee Mangala na Munir El Haddadi wakiifungia Valencia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako