• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda iko tayari kufanya biashara, na wawekezaji wa Kichina Mosoni anaeleza

    (GMT+08:00) 2017-03-20 19:38:19

    Waziri wa miundombinu James Musoni amewataka wajasiriamali wa Kichina kuchukua fursa ilioko Rwanda na kuwekeza nchini humu.

    Aidha anasema Rwanda iko wazi kwa kila mtu kuleta fedha zao katika nchi na kufanya biashara, na kufurahia mazingira mazuri ya biashara na sera.

    Bw: Musoni alikuwa akizindua mkutano wa uwekezaji kati ya Rwanda-China mjini Beijing, nchini China wiki iliyopita.

    Mkutano wa siku moja katika ubalozi wa Rwanda Beijing, ulihudhuriwa na makampuni 50 ya Kichina na ujumbe kutoka Rwanda.

    lengo ni kuonyesha fursa za uwekezaji nchini Rwanda ambazo wawekezaji wa China wanaweza kuziingilia.

    Bw: Musoni aliwaambia wawekezaji wa Kichina nchini Rwanda faidika kutoka Soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) la watu zaidi ya milioni 169.5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako