• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda kilimo cha ufungaji samaki kuklindwa

    (GMT+08:00) 2017-03-20 19:38:47

    Kulingana na ripoti ya Dunia ya Uvuvi na kilimo cha uvuvi ya mwaka wa 2016, ni kwamba uzalishaji wa Kimataifa wa samaki umeongezeka kutoka tani milioni 47.3 katika miaka ya nyuma hadi tani milioni 73.8 mwaka wa 2016.

    Hata hivyo Kuna tani 100,000 za samaki zinazo zalishwa nchini Uganda kila mwaka dhidi ya tarajio la taifa ya tani 300,000 .

    Uganda inakuza sekta ya ufugaji wa samaki kwa madhumuni ya uchumi wa taifa, kuchangia Pato la Taifa, kuboresha usalama wa chakula na lishe, na kusaidia maisha ya vijijini.

    Aidha Uganda inasema sekta ambazo za paswa kupewa kipao ni sekta ya Ufungaji samaki kwani chanzo cha fedha za kigeni ikiwa ni pamoja na kuvutia uwekezaji wa kibiashara na kuongeza mapato ya serikali kupitia kodi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako