• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa wito wa kukamilisha usimamizi wa haki za binadamu duniani

    (GMT+08:00) 2017-03-21 09:36:11

    Balozi wa kudumu wa China kwenye ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva Bw Ma Zhaoxu amehudhuria mkutano wa 34 wa Baraza la Haki za Binadamu, na kutoa hotuba kuhusu kukamilisha usimamizi wa haki za binadamu na kuhimiza mambo ya haki za binadamu duniani.

    Bw Ma amesisitiza kwamba nchi zote zinatakiwa kufanya juhudi kuendeleza na kukamilisha usimamizi wa haki za binadamu, ili kuhimiza maendeleo endelevu ya mambo ya haki za binadamu duniani, na kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako