• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shughuli 13 kufanyika wakati wa Mkutano wa mwaka 2017 wa Baraza la Asia la Bo'ao

    (GMT+08:00) 2017-03-21 19:45:20

    Shughuli 13 zitafanyika wakati wa Mkutano wa mwaka 2017 wa Baraza la Asia la Bo'ao.

    Mkurugenzi wa Ofisi ya mambo na nje ya mkoa wa Hainan Bw. Wang Sheng amesema, mwaka huu mkoa huo utaendelea kufuata sera ya kidiplomasia ya China na mpango wa ujenzi wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja", kuandaa shughuli mbalimbali zikiwemo mkutano wa baraza la uchumi wa kisiwa cha Njia ya Hariri Baharini ya Karne ya 21, na mazungumzo ya mwaka 2017 kati ya mameya wa China na Umoja wa Nchi za Asia ya Kusini-Mashariki.

    Kauli mbiu ya Mkutano wa mwaka huu unaopangwa kufanyika kati ya tarehe 23 na tarehe 26 mwezi huu ni "kukabiliana na utandawazi wa dunia nzima na mustakabali wa biashara huria".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako