• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rais wa Benki ya dunia azuru Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-03-21 21:02:34

    Rais wa benki ya dunia Jim Yong Kim amefanya ziara leo nchini Rwanda akitokea nchini Tanzania.

    Kim anafanya ziara ya siku mbili nchini humo na ametembelea mradi wa ndege zisizo na rubani cha Zipline katika wilaya ya Muhanga na pia eneo maaluma la kiviwanda la Kigali.

    Baadye kesho rais huyo wa beki ya dunia atahutubia wananchi kwenye jumba la mikutano la Kigali.

    Rwanda ni mojawepo wan chi zenye uchumi unaokua kwa haraka barani Afrika na pia yenye mazingira bora ya kufanyia biashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako