• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michezo ya Majeshi yaendelea Zanzibar, Timu ya Ngome yainyuka SMZ katika Kikapu Wanawake

    (GMT+08:00) 2017-03-22 08:44:36
    Michezo ya Majeshi imeendelea jana Zanzibar. Kwa upande wa mpira wa kikapu kwa wanawake, timu ya Ngome imefanikiwa kuifunga SMZ kwa jumla ya vikapu 67-47.

    Mchezo huo ulifanyika katika uwanja wa Nyuki Maisara na kushuhudiwa na wapenzi wengi wa mchezo huo. Mchezo ulianza kwa kasi huku kila timu ikijaribu kumsoma mwenzake na kujilinda mapema.

    Michuano hiyo inashirikisha timu za kutoka idara ya ulinzi na usalama toka Zanzibar na Tanzania Bara, katika michezo ya mpira wa miguu, mpira wa kikapu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako