• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maandalizi ya mashindano ya Mbio za Nyika Kampala Uganda yakamilika

    (GMT+08:00) 2017-03-22 08:45:37
    Mashindano ya Mbio za Nyika za Dunia (World Cross Country), yanatarajiwa kufanyika katika Jiji la Kampala, Uganda, Machi 26 mwaka huu, nchi mbalimbali duniani zinatarajiwa kushiriki mbio hizo na kufanya kuwa ya kuvutia.

    Timu mbalimbali za Afrika Mashariki zimejiandaa kwa ajili ya mashindano hayo huku kila moja ikijigamba kuwa wanariadha wa nchi zao wataibuka washindi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako