• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:mauzo ya magari imeshuka kwa asilimia 35 katika miezi miwili ya kwanza mwaka huu

    (GMT+08:00) 2017-03-22 19:41:01

    Idadi ya magari mapya yaliouzwa katika miezi miwili ya kwanza ya mwaka huu ilishuka kwa asilimia 35 Takwimu katika sekta hiyo zinaonyesha.

    Kiongozi wa muuzo katika kampuni ya General Motors anasema mauzo ya mwezi februari mwaka huu, ilifika vitengo 261 ikilinganishwa na vitengo 403 vilivyouzwa katika kipindi kama hicho mwaka wa 2016.

    Hii inakuja wakati kampuni kubwa ya magari kutoka marekani General Motors kutangaza kutoka soko la Afrika Mashariki mwezi ujao, na mauzo ya yake yote ya asilimia 57.7.

    Hata hivyo, General Motors inaongozwa soko na hisa ya asilimia 32.6.

    Mauzo ya Toyota katika miezi miwili imeshuka kwa asilimia 9.5 mwaka hadi mwaka na kufikia vitengo 362 ikilinganishwa na vitengo 399 zilizouzwa katika mwezi Februari mwaka jana.

    Soko la magari limeendelea kuhisi joto la kupunguzwa kwa viwango vya riba, ambayo imeifanya vigumu kwa nkljksekta binafsi kupata mikopo, huku benki nyingi zikiamua kuekeza katika dhamana za serikali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako