• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: KRA haijaridhishwa kodi iliyokusanywa kutoka kwa teski za Uber

    (GMT+08:00) 2017-03-22 19:41:18

    Mamlaka ya mapato Kenya (KRA) ameomba wabunge kuja na sheria maalum kwa ajili ya udhibiti wa programu ya teksi za uber.

    Maafisa wakuu kutoka vituo vya ukusanyaji ushuru, wanasifu matumizi ya teknolojia katika sekta ya Teski kwani ni rahisi kukusanya kodi na pia kupanua idadi ya walipa kodi.

    Hata hivyo, wanasema hawakuridhika na kiasi kilicho lipwa na Uber.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako