• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe maalum wa China kuhusu suala la Syria kuhudhuria duru ya 5 ya mazungumzo ya amani huko Geneva

    (GMT+08:00) 2017-03-22 20:01:30

    Msemaji wa Wizara ya mambo ya nje wa China Bibi Hua Chunying amesema, mjumbe maalumu wa serikali ya China kuhusu suala la Syria Bw. Xie Xiaoyan atahudhuria duru ya 5 ya mazungumzo ya amani kuhusu suala la Syria itakalofanyika huko Geneva.

    Hua amesema, Bw. Xie ataendelea kuhimiza mazungumzo ya amani, na kufanya juhudi na mchango wa kimkakati kwa utatuzi wa suala la Syria.

    Duru ya 5 ya mazungumzo ya amani kuhusu suala la Syria inatarajiwa kufanyika kesho huko Geneva, Uswisi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako