• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China asisitiza kukamilisha sera za kuwanufaisha wakulima

    (GMT+08:00) 2017-03-22 21:03:37

    Mkutano wa siku mbili kuhusu uzalishaji wa kilimo na kazi ya ujenzi wa eneo la uzalishaji wa kisasa wa kilimo umefanyika mjini Shijiazhuang, mkoani Hebei.

    Katika mkutano huo, waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amesema, inapaswa kuhimiza mageuzi ya kimuundo kwenye upande wa utoaji wa bidhaa, kukamilisha sera ya kuwanufaisha wakulima, kuongeza nguvu katika marekebisho ya kimuundo ya kilimo, na kushughulikia vizuri kazi ya utoaji wa mazao ya kilimo, ujenzi wa kilimo cha umwagiliaji, kukinga mafuriko ya maji na ukame na kazi ya utabiri wa hali ya hewa. Pia kuongeza zaidi thamani ya mazao ya kilimo ili yapate maendeleo kwa hatua madhubuti, na kiwango cha maendeleo vijijini na kutimiza ongezeko la pato la wakulima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako