• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi 21 wa vyombo vya habari vya China na nchi za nje wakutana Bo'ao

    (GMT+08:00) 2017-03-24 08:56:32

    Mkutano wa viongozi wa vyombo vya habari ukiwa kando ya Mkutano wa mwaka 2017 wa Baraza la Asia la Bo'ao ulifunguliwa jana kisiwani Hainan, na kuhudhuriwa na viongozi 21 wa vyombo vya habari kutoka nchi 15 zikiwemo China, Marekani, Russia, Japan na New Zealand, ambapo watajadili mustakbali mpya wa ushirikiano kati ya vyombo vya habari vya Asia, na kutarajiwa kufikia mwafaka kuhusu kutekeleza taratibu za ushirikiano, kujenga majukwaa mapya ya ushirikiano na kuongeza ushawishi wa vyombo vya habari vya Asia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako