• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya wanachama wa Benki ya AIIB yafikia 70

    (GMT+08:00) 2017-03-24 09:42:49

    Benki ya Uwekezaji wa Miundo mbinu ya Asia AIIB imetangaza kwamba baraza lake limeidhinisha wanachama 13 wapya kujiunga na benki hiyo, na kuifanya idadi ya wanachama wa AIIB ifikie 70.

    Hii ni mara ya kwanza kwa benki hiyo kuongeza idadi ya wanachama tangu ilipozinduliwa mwaka jana. Wanachama hao wapya ni watano kutoka Asia, amboa ni Afghanistan, Armenia, Fiji, Hong Kong, Timor-Mashariki, na wengine wanane ni Ubelgiji, Canada, Ethiopia, Hungary, Ireland, Peru, Sudan na Venezuela.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako