• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakenya kupunguziwa mzigo kwenye bajeti ya mwaka wa 2017-2018

    (GMT+08:00) 2017-03-24 18:28:34

    Wakenya wameonyesha furaha yao kufuatia hatua ya serikali kuahidi kutowaongezea mzigo wa kodi wakenya rkwenye bajeti yake ya shilingi trilioni 2.6 katika kipindi chake cha fedha cha mwaka wa 2017-2018. Kwenye bajeti yake inayotarajiwa kusomwa wiki ijayo, wizara ya fedha ya Kenya imesema pengo la bajeti limepungua kwa kiwango kikubwa. Imeongeza kuwa serikali pia imefaulu kukusanya kiwango kikubwa cha ushuru ambacho kimesaidia pakubwa katika kupunguza pengo hilo. Wizara hiyo pia imewashutumu wachambuzi wa maswala ya uwekezaji kwa kuwapotosha wakenya kwa kueleza kuwa watarajia nyongeza ya kodi kwenye bajeti ya mwaka wa 2017-2018.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako