• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ratiba ya mechi za kuingia ligi kuu ya raga yatoka

    (GMT+08:00) 2017-03-29 09:32:14

    Ratiba ya mechi za kuwania tiketi kuingia ligi kuu ya raga msimu wa 2017/2018 imetolewa.

    Shirikisho la Raga la Kenya (KRU) limesema kuwa USIU na South Coast Pirates zitatoana jasho Aprili 1. Mshindi wa mechi hii itakayopigiwa USIU atakutana na Kisii RFC katika nusu-fainali uwanjani Gusii katika kaunti ya Kisii mnamo Aprili 8.

    Kisumu na Mombasa zitaumiza nyasi uwanjani Mamboleo mjini Kisumu mnamo Aprili 1 kupigania tiketi moja ya kuingia nusu-fainali. Mshindi wa mchuano huo ataalikwa na Catholic Monks huko Lang'ata mnamo Aprili 8.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako