• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia: Waziri wa Viwanda  aomba wawekezaji  kutoka UAE kuwekeza katika sekta ya viwanda

    (GMT+08:00) 2017-03-29 19:20:04

    wawekezaji kutoka Falme za Kiarabu UAE wameobwa kuwekeza nchini Ethiopia kwa sababu kuna nafursa nyingi za uwekezaji.

    Waziri wa Viwanda Ahmed Abitew amewataka wawekezaji kutoka Falme za Kiarabu (UAE) kufaidika na nafasi zilizopo nchini Ethiopia za kuwekeza.

    Waziri wa viwanda Ahmed na Balozi kutoka Falme za Kiarabu nchini Ethiopia bw, Ghazi walikuwa na mkutano mfupi wakujadiliana njisi wanaweza kuwekeza katika sekta ya viwanda.

    Hata hivyo Balozi Ghazi amesema kwamba nchi yake ina hamu ya kushiriki katika nafasi yalipo ya uwekezaji nchini Ethiopia ikiwa ni pamoja na sekta ya viwanda

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako