• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda matrilioni ya pesa yanatumwa nchini kote kwa kutumia jukwaa ya simu

    (GMT+08:00) 2017-03-29 19:47:31

    Tangu kuanzishwa mfumo wa kupokea na kutuma fedha kupitia njia ya simu nchini Uganda na Benki ya Uganda (Bou) mwaka 2009,mamilioni ya watu wa wamefungua akaunti kwa simu zao za mkononi kwa ajili ya huduma hiyo.

    Leo hii, matrilioni ya pesa yanatumwa nchini kote kwa kutumia jukwaa hilo.

    Hatua hiyo imerahisisha maisha ya watu katika upatikanaji wa huduma za kifedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako