• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Mwanya wa kibiashara nchini Rwanda wapungua kwa asilimia 25.2

    (GMT+08:00) 2017-03-30 18:55:02
    Mwanya wa kibiashara nchini Rwanda umepungua kwa asilimia 25.2 katika miezi ya kwanza miwili ya 2017 hiyo ikiwa ni bora ikilinganishwa na kipindi sawa na hicho mwaka uliopita.

    Mwanya wa kibiasra ni tofauti kati ya dhamani ya bidhaa nchi inzouza nje na zile inazoagizia.

    Gavana wa benki kuu ya Rwanda John Rwangombwa amesema mwanya huo ulipungua kwa dola milioni 296 na hivyo kupunguza shinikizo kwa sarafu ya Franc dhidi ya sarafu za kigeni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako