Mchezaji Bastian Schweinsteiger ametambulishwa rasmi na klabu yake mpya ya Chicago Fire ya Marekani juzi kwenye mkutano na waandishi wa habari. Schweinsteiger amekabidhiwa jezi namba 31. Hivi sasa mchezaji huyo amesha anza mazoezi na timu hiyo wiki hii baada ya kumalizana na klabu ya Manchester United ya Uingereza.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |