Hayo yamo katika esemwa na ripoti ya maendeleo ya nishati ya China kwa mwaka 2016 iliyotolewa jana na Taasisi ya Mpango na Uhandisi wa Nishati ya Umeme ya China, ambayo pia imesema asilimia kubwa ya kuongezeka kwa umeme uliopotea kuimeathiri maendeleo endelevu ya nishati mpya nchini China.
Katika miaka ya karibuni, China imekuwa ikihamasisha maendeleo ya rasilimali za nishati safi katika miaka ya hivi karibuni ili kupunguza utegemezi mkubwa wa nchi hiyo kwenye makaa ya mawe, ambayo yamechukua asilimia 72 ya matumizi ya jumla ya nishati.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |