• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Gilbert Houngbo kuwa mkuu mpya wa Shirika la IFAD la Umoja wa Mataifa

    (GMT+08:00) 2017-04-03 09:16:54

    Bw. Gibert Houngbo ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa awamu ya sita wa Shirika la mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya kilimo IFAD lenye makao makuu mjini Rome Italia, na anatarajiwa kuanza kazi leo, akichukua nafasi ya Bw. Kanayo Nwanze aliyemaliza muda wake Ijumaa wiki iliyopita. Bw. Houngbo mzaliwa wa Togo aliwahi kuwa waziri mkuu wa Togo kuanzia mwaka 2008 hadi 2012.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako