• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya Tenisi kushiriki michuano ya Dunia

    (GMT+08:00) 2017-04-04 08:35:23
    Timu ya tenisi ya Taifa inatarajiwa kushiriki mashindano ya Dunia ya BNP Paribas World Team Cup-Wheel Chair Tennis yatakayofanyika nchini Italia kuanzia Mei mosi hadi 7 mwaka huu.

    Mwenyekiti wa chama cha tenisi Tanzania, Dennis Makoi amesema wachezaji tayari wako kambini na wana ari kubwa ya kupeperusha ya Taifa na Afrika kwa ujumla.

    BNP Paribas World Team Cup ni mashindano yenye hadhi sawa na Davis Cup na Fed Cup.BNP Paribas World Team Cup inahusissha madaraja ya wanaume, wanawake, quads na wavulana. Mashindano hayo ya BNP Paribas World Team Cup hufanyika kila mwaka kwa nchi tofauti kupokezana uenyeji.

    Tanzania imefauru kushiriki kwa upande wa wanaume ambapo itakayowakilishwa na wacheza Tennis wanne ambao ni Juma Hamis (19), Novatus Emmanuel Temba (21), Albert John Churi(18) na Voster Isaya( 18) .Nafasi hiyo kwa Tanzania ilipatikana baadaya ya kuwatoa Kenya kwa seti 2-1 kwenye fainali za mchujo wa Bara la Afrika michuano iliyofanyika Jijini Nairobi nchini Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako