• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini imeondoa malipo ya wageni ambayo ni dola 10,000

    (GMT+08:00) 2017-04-05 19:20:57

    Sudan Kusini haitaendelea na mpango wake wa malipo ya wageni ambayo ni dola 10,000 kwa ajili ya vibali vya kazi kama ilivyotangazwa rasmi mapema mwezi Machi.

    mpango huu umeondolewa kutokana na shutuma kuwa ingeumiza mashirika ya misaada, waziri wa fedha anasema.

    Hatua ilitangazwa siku nne baada ya njaa kutangazwa katika maeneo mbalimbali ya nchi.

    Hata hivyo, ada hiyo itapitiwa na wabunge.

    Wafanyakazi wa kigeni kwa sasa wanatakiwa kulipa $ 100 kwa ajili ya kibali cha kazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako