• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kampuni ya Mahindra yazindua gari lake aina ya Big Bolero Pickup, nchini Kenya.

    (GMT+08:00) 2017-04-06 18:32:46

    Kampuni ya kutengeneza magari ya India Mahindra & Mahindra Ltd imetangaza kwamba itazindua gari lake aina ya Big Bolero Pickup, nchini Kenya.

    Gari hilo lina uwezo wa kubeba mizigo ya tani moja na nusu litalenga wateja wanaofanya biashara za wastani.

    Bei yake itakuwa ni shilingi 1,950,000/ pamoja na ushuru sawa na dola elfu 19,500.

    Mkuu wa oparesheni za kimataifa wa kampuni hiyo Ashok Thakur, amesema gari hilo linakuwa maarufu nchini Kenya kutokana na kwamba halitumii mafuta mengi

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako