• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Kenyatta asema Kenya itaandaa kwa mafanikio mashindano ya vijana wenye umri chini ya miaka 18

    (GMT+08:00) 2017-04-07 09:18:45

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameihakikishia jumuiya ya michezo ya kimataifa kuwa Kenya itakuwa tayari kuandaa michuano ya riadha ya IAAF ya dunia kwa vijana wa nchini ya umri wa miaka 18, na kombe ;a mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri huo mwaka kesho. Michezo ya riadha itafanyika mwezi Julai na ile ya soka itafanyika mwezi january mwaka kesho. Rais Kenyatta amesema hayo mjini Nairobi wakati akipokea kifimbo cha malkia cha mashindano ya jumuiya ya madola itakayofanyika Australia

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako