• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UEFA yamtabiria makubwa Mbwana Samatta.

    (GMT+08:00) 2017-04-10 08:22:27

    Shirikisho la soka Ulaya (UEFA) limemtaja mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta kama mmoja wa wachezaji wa kutazamwa kwa sasa barani humo.

    Mbwana Samatta amefunga mabao 6 katika mechi zake 5 zilizopita akiwa na timu yake ya Genk.

    Wasifu huu unakuja wakati Genk inajitayarisha na mchezo wa kwanza war obo fainali ya ligi ya Europa dhidi ya wenyeji Celta Vigo siku ya Alhamis katika uwanja wa Balaidos.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako