• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya Mpira wa kikapu (NBA) Marekani Rusell Westbrook aweka rekodi ya kipekee

    (GMT+08:00) 2017-04-11 08:28:00
    Mchezaji wa timu ya kikapu ya OKC Thunder ya Marekani Russell Wetsbrook amekuwa na msimu bora kuliko mcheajinyeyote wa NBA baada ya kufanikiwa kufikia rekodi ya Big O kwa kupata Triple double yake ya 41 baada ya kufunga pointi 12, kutoa assist 13 na kudaka rebound 13 katika mchezo walioshinda kwa pointi 110-79 dhidi ya Milwaukee Bucks.

    Kuna uwezekano mkubwa kwa mchezaji huyo kushinda tuzo ya MVP ingawa kwa misimu iliyopita na historia ya NBA timu nje ya nafasi 5 za juu huwa ni nadra sana kushinda MVP.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako