Siku za hivi karibuni, Loga alizuiliwa na mashabiki wa timu hiyo kuendesha mazoezi kwa madai ya kutoridhishwa na mbinu za kocha huyo, kufuatia timu kutoka sare na Inter Allies.
Loga aliiongoza klabu hiyo ya Ghana michezo 11, ambapo alishinda michezo mitano, akatoka sare minne na kupoteza miwili.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |