• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Ukosefu wa ajira mwingoni mwa vijana bado ni changamoto kubwa Katika ukuaji wa serikali

    (GMT+08:00) 2017-04-12 19:33:21

    Ukosefu wa ajira nchini Tanzania bado ni changamoto kubwa Katika ukuaji wa serikali.

    Gavana wa benki kuu ya Tanzania anasema Miongoni mwa njia zinzweza kusaidia vijana hawa ni kuwauunganisha na sekta ya benki ili kupata mikopo na kushiriki katika uzalishaji wa kilimo.

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof Benno Ndulu, alisema hayo jana katika uzinduzi wa 9 wa Uchumi wa Tanzania na Benki ya Dunia .

    Aidha anasema nchi iko na rasilimali nyingi, ambazo zinaweza kuunda fursa nyingi kwa ajili ya vijana wenye ujuzi kumiliki teknolojia ya digital.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako