• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watalii wa China watumia asilimia 12 zaidi katika kutalii nchi za nje kwa mwaka jana

    (GMT+08:00) 2017-04-14 09:40:45

    Takwimu zilizotolewa na Shirika la utalii duniani UNWTO zinaonesha kuwa matumizi ya watalii wa China katika kutembelea nchi za nje yameongezeka kwa asilimia 12 na kufikia dola za kimarekani bilioni 261 kwa mwaka jana, kiasi ambacho kimeifanya China kuwa chanzo kikubwa zaidi cha watalii duniani tangu mwaka 2012, kufuatia wastani wa ongezeko la zaidi ya asilimia 10 katika matumizi ya utalii kila mwaka kuanzia mwaka 2004.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako