• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Abiria aliyeburuzwa nje ya ndege ya United Airlines kufungua mashtaka

    (GMT+08:00) 2017-04-14 10:39:20

    Abiria aliyeshushwa kwa kuburuzwa kwenye ndege ya United Airlines ya Marekani Jumapili usiku, huenda atafungua mashtaka dhidi ya kampuni hiyo. Wakili wake Bw. Tom Demetrio amesema, abiria huyo David Dao mwenye umri wa miaka 69 alipata majeraha makubwa na madhara ya kisaikolojia kutokana na kutendewa kikatili na maofisa usalama wa uwanja wa ndege.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako