• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapongeza kuimarika kwa uhusiano kati ya Marekani na Russia

    (GMT+08:00) 2017-04-14 19:59:55

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang amesema, China inapongeza maendeleo ya uhusiano kati ya Russia na Marekani, ambayo ni habari njema kwa dunia.

    Amesema maendeleo mazuri ya uhusiano wa pande mbili kati ya Russia na Marekani, ambazo zote ni nchi zenye nguvu duniani na nchi wajumbe wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, utasaidia kudumisha amani na utulivu duniani na kukabiliana na changamoto mbalimbali duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako