• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya madini yaikatalia CHANETA

    (GMT+08:00) 2017-04-18 09:04:56
    Timu ya Netiboli ya madini imesema haitaweza kushiriki mashindano ya Afrika Mashariki kutokana na taarifa za mashindano hayo kuchelewa kuwafikia. Katibu wa timu hiyo Athman Mhando amesema, walipata taarifa wiki iliyopita kutoka chama cha netiboli Tanzania (CHANETA) ikiwataka kuanza maandalizi kucukua nafasi ya timu ya Uhamiaji ambayo imejitoa kwenye mashindano hayo. Amesema hawawezi kupeleka timu kwenye mashindano makubwa kwa kukurupuka na itakuwa ni aibu kwao na kwa taifa endapo watafanya vibaya. Tanzania sasa itawakilishwa na timu za polisi na Jeshi Stars.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako