• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia mapato ya Mauzo ya nje ya nyama imefikia dola milioni 72.

    (GMT+08:00) 2017-04-18 20:00:23

    Kiwanda cha nyama na maziwa Ethiopia kinasema nchi ilitengeneza dola milioni 72 kwa kipindi cha miezi tisa ya mwisho ya mwaka wa fedha wa mauzo ya nje ya nyama kuelekea Falme za Kiarabu (UAE) na Saudi Arabia.

    UAE na Saudi ndio waagizaji wakubwa wa nyama kutoka Ethiopia ambayo mbuzi na nyama ya kondoo.

    Asilimia 60% ya nyama ya Ethiopia inatumwa UAE wakati 38% ya Saudi Arabia na iliyobaki asilimia 2% kwa nchi zengine Mashariki ya Kati.

    Ethiopia ina lenga kupata zaidi ya dola milioni 150 kutoka kwa mauzo ya nje ya nyama nje katika mwaka huu wa bajeti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako