• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Shirika la Fedha Duniani (IMF) inashinikiza Kenya kupitia udhibiti wa kiwango cha riba

    (GMT+08:00) 2017-04-18 20:00:52

    Shirika la Fedha Duniani (IMF) inashinikiza Kenya kupitia udhibiti wa kiwango cha riba, kwa sababu inaumiza wafanyibiashara wadogo na kati (SMEs).

    Hii inakuja baada ya Serikali kuonyesha mchanganyiko wamawazo ambao unaangalia kupitia tena sheria ya benki ya 2016, ambayo inadhibiti viwango vya riba kwa mikopo na amana.

    Serikali inaongopa viwango vya riba vinaweza kupunguza ukuaji wa uchumi kama sekta binafsi itanyimwa mikopo.

    Ujumbe la IMF ujumbe lilikutana waziri wa wizara ya fedha Henry Rotich na Gavana wa Benki Kuu ya Kenya Patrick Njoroge, miongoni mwa wakezaji wengine muhimu nchini muhimu kujadili sekta ya uchumi na fedha.

    Rais Uhuru Kenyatta alionekana kuvunjika moyo juu ya kutokuwa na uwezo wa Wakenya kupata mikopo kutoka kwa benki licha ya kupungua kwa viwango vya riba.

    Hata hivyo rais amebanisha kuwa serikali yake itaangalia jambo kabla ya uchaguzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako