• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Serikali ya Tanzania kukuza uzalishaji wa tangawizi

    (GMT+08:00) 2017-04-18 20:01:34

    Serikali ya Tanzania inataka viwanda vay uchumi vya kipato cha kati kukuza uzalishaji wa tangawizi kama ufunguo kama biadhaa ya ndani na kwa ajili ya mauzo ya nje, ambayo inaweza kuongeza kasi ya ukuaji wa kiuchumi na kijamii kati ya wakulima wa ndani.

    Mbunge wa mteule, Anne Kilango Malecela, anasema ni wakati muafaka serikali iangalie kilimo

    Bi Malecela alibainisha kuwa tangawizi ina mahitaji makubwa katika masoko ya ndani na ya kimataifa, na anatoa wito kwa serikali kutoa rasilimali katika uzalishaji wa mazao kama hayo.

    Anaendelea kusema kilimo cha tangawizi kitakuza uchumi mbali na kutoa fursa zaidi za ajira kwa wakulima wetu.

    Pia alihimiza nchi kufuata nyayo za Nigeria, ambayo ni miongoni mwa wazalishaji watano wa tangawizi duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako