• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi kuu Uingereza- EPL: Arsenal yarejea nafasi ya sita

  (GMT+08:00) 2017-04-19 09:25:14
  Arsenal imerudi katika nafasi ya 6 ya EPL, Ligi Kuu Uingereza baada kushinda ugenini Riverside walipoifunga Middlesbrough 2-1.

  Arsenal walitangulia kufunga kwa Frikiki ya Alexis Sanchez na Middlesbrough kusawazisha kwa goli la Alvaro Negredo alieunganisha pasi ya Stewart Downing. Bao la ushindi la Arsenal lilifungwa na Mesut Ozil.

  Ushindi huu ni wa 3 tu kwa Arsenal kwa mechi zao 9 zilizopita na umewarejesha nafasi ya 6 wakiwa Pointi 3 nyuma ya Man United.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako