• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • East Africa: Mawaziri wa EAC wamekubali kudumisha michango sawa kufadhili bajeti ya kambi hiyo.

  (GMT+08:00) 2017-04-19 19:56:57

  Washirika wa Afrika Mashariki wamekubali kudumisha michango sawa kufadhili bajeti ya kambi hiyo.

  Ripoti ya Baraza la Mawaziri wa EAC , uliofanyika mjini Arusha kutoka mwezi Machi 30 - Aprili 4, inaonyesha kuwa nchi wanachama wa nchi zengine isipokuwa ila Burundi waliidhinisha mpango huo.

  Katika ripoti yao, wanachama wa jumuiya ya afrika mashariki wamependekeza vikwazo kwa wale watakosa kuchangia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako