• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Afrika wathibitisha askari mmoja wa AMISOM ameuawa na mwenzake

    (GMT+08:00) 2017-04-20 18:50:16

    Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM leo kimesema kimechunguza kifo cha askari wake katika mji wa Bula-burte, jimbo la Hiiraan, katikati mwa Somalia.

    Askari huyu mwenye uraia wa Djibouti aliuawa na mwenzake kutoka jeshi la Somalia baada ya mabishano.

    Msemaji wa AMISOM Wilson Rono amethibitisha tukio hilo, na kusema kuwa uchunguzi umefanywa ili kujua sababu ya mabishano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako