• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yasisitiza kuwa mazungumzo ni njia pekee ya kutatua mgogoro Syria

    (GMT+08:00) 2017-04-24 08:54:42

    Mjumbe maalumu wa China anayeshughulikia suala la Syria Bw. Xie Xiaoyan amesema njia pekee ya kutatua suala hilo ni ufumbuzi wa kisiasa kupitia mazungumzo. Akiongea na wanahabari kutoka China na Misri huko Cairo, Bw. Xie amesema hatafuti utatuzi wa haraka wa suala la Syria, na kusisitiza kuwa njia ya kijeshi haiwezi kutatua suala hilo. Bw. Xie alisema hayo kwenye ziara yake mjini Cairo, ambapo alikutana na maofisa wa wizara ya mambo ya nje ya Misri na kujadili mgogoro wa Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako