• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari 4 wauawa katika mlipuko wa bomu Pakistan

    (GMT+08:00) 2017-04-24 08:55:22

    Wanajeshi wanne wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa baada ya bomu kulipuka karibu na msafara wa magari yao kwenye eneo la Kech, kusini magharibi mwa Pakistan. Habari kutoka nchini humo zinasema shambulizi hilo lilitokea wakati askari wa kikosi cha Frontier Corps walipokuwa njiani kuelekea eneo la Mand. Wanamgambo wasiojulikana walitega bomu kando ya barabara na kulilipua wakati magari ya kikosi hicho yanapita. Mpaka sasa hakuna kundi lolote lililotangaza kuhusika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako