• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Balozi wa Kenya katika Umoja wa Mataifa asema, Mpango wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja" utanufaisha maendeleo ya Afrika

    (GMT+08:00) 2017-04-28 09:59:14

    Balozi wa Kenya katika Umoja wa Mataifa Bw. Macharia Kamau amesema, njia ya ushirikiano kati ya China na Afrika inazidi kuwa nzuri, na mpango wa Ukanda Mmoja na Njia Moja uliotolewa na serikali ya China utachangia maendeleo ya Afrika.

    Bw. Kamau amesema, ingawa katika miaka ya hivi karibuni uchumi wa nchi za Afrika umekua kwa kasi, bado unakabiliwa na changamoto nyingi ukiwemo umaskini, mabadiliko ya muundo wa uchumi, ukosefu wa nafasi za ajira na haki za wanawake. Kufuatia kushuka kwa bei ya rasilimali, nchi za Afrika zinaona ugumu wa kudumisha ukuaji wa uchumi, na mpango huo umeleta fursa mpya kwa maendeleo ya uchumi wa Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako