• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanajeshi 80 wa Uingereza wapelekwa Sudan Kusini kuunga mkono tume ya Umoja wa Mataifa UNMISS

    (GMT+08:00) 2017-05-03 08:34:18

    Askari wapatao 80 wa Uingereza wamefika nchini Sudan Kusini kutoa uungaji mkono wa kiufundi na kimatibabu kwa tume ya Umoja wa Mataifa nchini humo UNMISS. Tume hiyo imesema kati yao wanajeshi wa huduma za matibabu watatekeleza majukumu yao kwenye vituo vya kuhifadhi raia vya Malakal na Bentiu, na hospitali ya ngazi ya pili huko Bentiu, huku wahandisi wakishughulikia kazi ya kuboresha miundombinu kwenye kambi za tume hiyo ya Umoja wa Mataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako